methodkiteveblog

HAKI ZA BINADAMU

HAKI ZA BINADAMU
Filamu iitwayo white shadow inayoangazia madhili ya albino imezinduliwa mjini london waigizaji katika filamu hii ni kutoka tanzania na itaonyeshwa katika kongamano la kimataifa kuhusu haki za binadamu.