3 years ago

Assalaamu aleykum.

As.alaykum, vipi ndugu zangu mupo? Munaendeleaje na masomo? Nawatakieni matayarisho mema ya ramadhani na mitihani.

read more...

3 years ago

Attension.

Assalaamu aleykum yaa ikhwaaniy, Kwamujibu wa mshika fedha takriban 60% ya members hawajatoa mchango wa mwezi march. So, nachukua fursa hii kuwakumbusha wale wote ambao walijisahau kutoa mchango huo.

read more...

3 years ago

Mchango.

Kumbuka kulipa mchango wa mwezi kwa wakati ndio kufanikiwa kwa jumuia.

read more...

3 years ago

Shule 10 bora zilizofanya vizuri mtihani wa kidato cha nne 2014.

Zifahamu Shule 10 Bora za mwanzo na 10 Zilizofanya Vibaya Mtihani wa “Form Four 2014″

Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote w read more...3 years ago

Attention to PMO members.

All members of Pemba Mobile Educational Organization are required to visit this site for information about organization this site created by Amir to provide information to members about organization.

read more...

3 years ago

Performance of form four results 2014 of four schools in Mkoani - Pemba.

REPORT OF PERFOMANCE FOR THE YEAR 2014/2015.

Mizingani Secondary School is located at Pemba. Mizingani Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Elimu ya dini ya kiislamu, Ch read more...3 years ago

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR.

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR

TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA NA KIDATO CHA PILI MWAKA – 2014

Mtihani wa Taifa wa darasa la saba ulifanyika tarehe 27/11/2014 na 29/11/2014 na ule wa kidato c read more...