9 months ago

Wafungaji bora VPL

Wafungaji bora VPLAbdulrahman Mussa na Simon Msuva waongoza ufungaji bora wakilingana magoli. read more...

9 months ago

Serengeti Boys yawasili Jijini Port Gentil

Serengeti Boys yawasili Jijini Port GentilKikosi cha vijana hao kutoka nchi ya Kilimanjaro, Tanzania imewasili salama jijini Port Gentil Kuikabili Niger katika mchezo wao utakaochezwa siku ya jumapili.Makinda hao wataikabili Niger huku wakihitaji ushindi utakaowapeleka nusu fainali. Ghana n read more...

9 months ago

Tanzani 2-1 Angola

Tanzani 2-1 AngolaSerengeti boys yatupa matumaini. Yailaza Angola 2-1. Soka safi, kasi na umakini zaidi umeipa ushindi ambao ni muhimu sana kwa sababu wafikie pointi nne huku wakiwa na mchezo mmoja. Tunaitakia kila la heri Serengeti boys. read more...

9 months ago

Kikosi cha Serengeti boys kitakachoivaa Angola leo jioni. vijana hao wa Tanzania wanaingia dimbani huku wakiwa na pointi moja baada ya kutoka sare na

Kikosi cha Serengeti boys kitakachoivaa Angola leo jioni. vijana hao wa Tanzania wanaingia dimbani huku wakiwa na pointi moja baada ya kutoka sare na Ushindi wa leo utawaweka katika nafasi nzuri. Kikosi hicho ni kama ifuatavyo. 1.Ramadhan Kabwili 12.Kibwana Alli 3. Nickson Kabarage 5. Dickson Job (C) 14. Ally Msengi 4. Enrick Vitalis 9. Abdul Suleiman 2. Ally Ng'anzi 15. Yohana Mkomala read more...

9 months ago

Sanchez: Sipendi ujinga nikiwa uwanjani.

Sanchez: Sipendi ujinga nikiwa uwanjani.Mshambuliaji wa arsenal Alexis Sanchez amekiri kwamba kuna nyakati huwa mkali na wachezaji wenzake hasa wanapokuwa wanapigania pointi tatumuhimu. SSanchez amesema kwamba husikia vibaya kuona Wachezaji wenzake wanapokuwa hawajitumi zaidi. Alexisaliwah read more...