walewale tz habari ya mjini

walewale tz habari ya mjiniTuna jiandaa kwa kazi moja iliyo tuleta mjini sababu ss ni vijana tulio tawabika ki kimziki hususa hapatanzania ivyo tunaomba mtupokee kwenye tasnia hii ya muziki wakitanzania Umoja wenu ndio nguvu kwetu ahsanteni kwa sapoti yenu