michael Lauber amesema kuwa afisi yake ilikuwa ikichambua idadi kubwa ya data ya FIFA iliopatikana katika uchunguzi wake wa ufisadi katika shirikisho