Hongera! Hongera! Hongera!

Hongera!  Hongera!  Hongera!

Hongera sana kwa kufikia hapo, Unakwenda sasa kuaza maisha, Mtangulize Mungu kwa kila jambo hakika atazidi

kukushindia, usijivike kibuli, Heshimu kila mtu, Semehe kwa wanaokukosea, Omba radhi kwa kila umkeseaye. Nikutakie

safari njema ya huko uendako. Baada ya kulupushani za hapa na pale basi Mungu huwatizama watu vile wahangaikavyo na kuamua kuwafikisha pale alipo waandalia, TAZAMA SI! KWA NGUVU ZAKE ILA MUNGU KAMUPIGANIA HAKIKA HATA AENDAKO ATAPIGANIWA.