MFANO WA HEKIMA YA SULEMANI

1Falme4:29"Mungu akampa Suleiman hekima, name akili sana, na moyo mkuu, kama mchanga ulioko pwani" Mungu hukujalia kile uombacho kwa utukufu wake 1. Endelea kuomba hekima ya kimungu ndani yako ktk kila sector maishani mwako. 2. Omba Mungu akupe akili nyingi sana. Hekima ina nafasi yake name akili pia. Mungu alimpa Suleiman hekima ila akaona vema apewe akili pia. Kuna mambo unatakiwa utumie akili na usipoitumia unaharibu. 3. Omba name tia juhudi ktk kumtafuta Mungu ili upate akili. Zab119:99 inatueleza Kuwa akili nyingi zinaletwa na kuzifikiri sheria za Bwana. 4. Omba Mungu akupe moyo mkuu. Kuna mambo. unakutana Mayo dunian bila moyo mkuu unsshindwa. Mungu anatambua umuhimu wa moyo mkuu ndiomana Yosh6:9 alimwambia uwe na moyo wa ushujaa. So ombea ilo ili usikwame popote 5. Omba kile ambacho unapewa upewe kingi sana kama mchanga wa pwani.