HAKI ZA BINADAMU

HAKI ZA BINADAMUFilamu iitwayo white shadow inayoangazia madhili ya albino imezinduliwa mjini london waigizaji katika filamu hii ni kutoka tanzania na itaonyeshwa katika kongamano la kimataifa kuhusu haki za binadamu.