ukatili kwa wanawake na watoto vijijini

ukatili kwa wanawake na watoto vijijini

Hizi ni hasira ama ukatili, hasa kwenu nyie watu wa Mara?.

Huyu mama alimwagiwa maji ya moto kabisaaaa!, kwa kosa la kukata mahindi mabichi shambani kwao kwa ajili ya kuchoma, maana hakuwa na namna ya kupata chakula cha siku hiyo. Baada ya mme wake kurudi kutoka alikokuwa alifika na kuhoji; kwa nini kavunja mahindi bila ruhusa yake baada ya hapo aliingia jikoni na kuchukua maji moto jikoni na kummwagia kifuani bila hata chembe ya huruma hata kidogo na huyo mama kuwa na hali aliyonayo hapo kwenye picha yake.