Amaizing ndani ya moro town

Amaizing ndani ya moro townM2 wangu jana ilifanyika bonge la show amaizing pale jamuhuri studium ambako kulikuwa na bend ambayo inafanya poa sana kwenye game la bongo na si.wengine nii...-YA MOTO BAND-: ambao walifanya show kali ambapo iliyoweka historia katika mkoa wa morogoro