jay leader arudi na kibao kipyaaa

jay leader arudi na kibao kipyaaa

yule kijana machachali ambae ana sauti na style ya kipekee ya uimbaji amerudi tena na track mpyaa aliyoipa jina la Zumbeza