TUWALINDE NDUGU ZETU

TUWALINDE NDUGU ZETUWatanzania wenzangu tuwalinde ndugu zetu wenye tatizo la ngozi yaani Albinism tuachane na fikra potofu za kuwakata viungo vya ngozi zao WATANZANIA ,WATU WANGU, NDUGU ZANGU. Duniani kote kuna watu kama hawa leo najitolea kuwa balozi wa kukataza mauaji na utesaji wa ndugu zetu hawa kwasababu wote tumeumbwa na na. Mungu mmoja DEE YC BALOZI WA ALBINO TANZANIA. ★★★TANZANIA BILA UNYANYAPAA INAWEZEKANA