vituko mtaan.com

vituko mtaan.comHi b&b. Salama kwenu Wote wapenda blog hii naomba ushauri kuhusu nimpendae kiukweli kuna kijana nampenda sana na pia tumepanga mengi sana kuhusina na penzi letu ila tatizo kubwa ni dini ye ni mwiisilam na mimi ni mkristo tuna mpango wa kuoana lakin wazazi wana leta msaro nampenda sana sijui nifanyeje dini ndo kikwazo na wazazi wangu nikiwaambia kuhusu kubadilisha dini wana kataa. Naomben ushauri