Tanzania Youth Ability/muundo

 

 

 

 

 

 

 

MUUNDO WA T.Y.A

Kikundi kina undwa na wajumbe thelathini tu,kumi kati yao wataunda bodi ya utawala wa T.Y.A na itakuwa na ngazi zifuatazo:-

 

 1. MWENYEKITI ambaye ni NASRI TAWETE msaidizi ni IRENE KAMBI
 2. KATIBU ambae ni ENOCK MICHAEL na ABRAHAM THEODORY
 3. MHAZINI ambae ni ALOYCE MAVUNDE
 4. MSAJILI ambae ni ANDREA ALEX
 5. MKG HABARI NA MAWASILIANO ambae ni YOMBO M ZAKAYO
 6. MSAMIZI WA MIRADI Ambae ni LUDGERY MARTIN
 7. MKURUGENZI MASOKO ambae ni JACKSON KOMBA
 8. MSEMAJI MKUU ambae ni VALELIA NYANJE
 9. SHERIA NA NIDHAM ambae ni OSCAR MHOKA
 10. MSIMAMIZ SANAA ambae ni KELVIN MONGI

֍ WENGINE WANAOUNDA BODI NI

                  JACKLINE MARTIN

                  PATRICK BRUNO

                  ISSACK MDEM

YA KUZINGATIWA KWA WAJUMBE WA T.Y.A

 1. Heshima ndani ya kikundi sambamba na kuheshimu uongozi uliopo yani bodi ya utawala.
 2. Mahusiano ya kimapenzi hayatoruhusiwa miongoni mwa wajumbe ndani ya kikundi.
 3. Hatutompokea  au kushirikiana na kijana yeyote atakaejihusisha na makosa ya jinai.
 4. Hatutoruhusu ubinafsi ndani ya kikundi.
 5. Kulipa ada ya uwanachama Tsh. 10,000/= kwa mwaka.
 6. Usajiri wa kikundi Tsh. 5,000/= mara moja tu.
 7. Mfuko wa majanga/dharura Tsh. 2,000/= kwa mwezi.
 8. Gharama za uendeshaji wa T.Y.A Tsh 500 /= kwa mwezi.

 

N.B:  kinyume na mazingatio hayo utafungiwa uwanachama kwa muda usiofahamika.

 

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti zetu zifuatazo:-

 •  http;/Friend-Tanzania-Youth-Ability.wallinside.com.
 • Page Fb: FRIEND TOUR ORGANISATION
 • page Fb: ENTERTAIMENT –ARTIST – GROUP  and page Fb: T.STAR VOICE