jamani hamuwaone huluma

jamani hamuwaone huluma jaman kwa walee wagombea uraisi kwa mwaka huu hivi kweli mtakuwa na huruma kwa vijana na watoto wadogo ikiwa migogoro inaanza mapema tena ndani yachama hebu tuangalie kizazi hiki nakisha tufikilie jaman na sisi wapiga kula tuhakikishe ya kwamba tuna chagua kiongozi bora atakaye tusaidia matatizo yetu kwani hakuna yeye bila sisi mabadiliko yapo mikononi mwako amua sasa