kuelekea uchaguzi

Magufuli , Balozi Amina, Migiro wapenya tatu bora Details Published on Sunday, 12 July 2015 00:30 Written by Mgaya Kingoba, Dodoma Hits: 124 WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya CCM waliokutana jana mjini hapa, walipigia kura majina matano ya wawania urais kupitia chama hicho, ambapo Dk John Magufuli, aliongoza na kufuatiwa na Balozi Amina Salum Ali na Dk Asha-Rose Migiro. Read more... Mjadala mgombea mmoja Ukawa bado siri Details Published on Sunday, 12 July 2015 00:29 Written by Katuma Masamba Hits: 83 UPATIKANAJI wa mgombea mmoja wa urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeendelea kujadiliwa katika kikao cha siri cha vyama hivyo, huku hali ikijionesha kuwepo kwa mvutano baina ya vyama vikuu katika umoja huo. Read more... Wafuasi wa Lowassa walia na uamuzi wa Kamati Kuu Details Published on Sunday, 12 July 2015 00:08 Written by Mgaya Kingoba, Dodoma Hits: 121 WAFUASI wa aliyekuwa akiwania uteuzi wa CCM kuwa mgombea urais, Edward Lowassa, ambaye hakupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wagombea bora watano, wamepaza sauti zao wakionesha kutoridhishwa kwa jina la mgombea huyo kuchujwa katika vikao vya uamuzi. Read more... Uandikishaji daftari la kudumu Dar sasa Julai 22 Details Published on Sunday, 12 July 2015 00:07 Written by Emmanuel Ghula Hits: 15 ZOEZI la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mkoa wa Dar es Salaam limesogezwa mbele hadi Julai 22 mwaka huu. Read more... Ulinzi imara jengo la ‘ White House’ Details Published on Sunday, 12 July 2015 00:07 Written by Mgaya Kingoba, Dodoma Hits: 39 HALI ya ulinzi katika Jengo la Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) maarufu White House, jana ilikuwa ya kutisha wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). Read more... Lipumba asema yeye ndiye anayefaa kutawala Details Published on Sunday, 12 July 2015 00:06 Written by John Nditi, Morogoro Hits: 56 WAKATI kitendawili cha sitofahamu cha uwezekano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kusimamisha mgombea mmoja wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa , Profesa Ibrahim Lipumba, ameibuka na kusema taifa linahitaji kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuinua na kuboresha uchumi kupitia sekta ya viwanda na kilimo. Alisema uchumi unaosimamiwa na viwanda na sekta ya kilimo ndiyo njia pekee itakayowezesha kuongeza ajira nyingi za kada mbalimbali kwa vijana na uzalishaji mkubwa wa mazao kutawezesha kupatikana kwa malighafi ya viwanda na wananchi kupata lishe bora. Page 1 of 287 Start Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next End