Diamond akitarajia mtoto

Diamond platnumz akiwa anatarajia mtoto hivi karibuni kutoka katika kipenzi chake zari(the boss lady) . wamekuwa wakipost picha nyingi ambazo zinaonekana katika mitandao ya kijamii mfano instagram, wawili hao wamekuwa pamoja Kwa muda mrefu Sana. "natarajia inshaallah mtoto wa kike" Diamond akisema wakati yupo Durban akihojiwa na Mallard Ayo