information about our product of quail eggs

FAIDA YA YAI LA KWARE
Watafiti wa Uingereza wamesema yai la kware liitwe "Super- Food" kutokana na kuwa na faida nyingi sana katika Afya ya binadamu na hata kusaidia kuushinda utapiamlo. Inaongeza kinga ya mwili, kupunguza unene na kutunza mwili wa binadamu.  Inaongeza kinga ya mwili, kupunguza unene na kutunza mwili wa binadamu. Mayai ya Kware yamethibitishwa kuwa ni chanzo kikuu cha vitamin A, B1, B2, B6, B12 na Vitamin D, madini ya chuma, zinc, Copper, phosphorus, na virutubisho vingine, madini ya mwilini na amino acids ambayo yanapelekea yai hili kuwa chakula muhimu kwa lishe ya binadamu. Yana HDL cholesterol (good fat) na protin nyingi za kutosha. Kula mayai ya kware kwa afya njema inashauriwa kuyala yakiwa mabichi kwa kuchanganya na maziwa na asali au juice ya matunda.  Pia chemsha au kaanga kwa muda mfupii sana dakika mbili  tu ili kutoua virutubisho vyake. Mayai ya Kware yanachukuliwa kama ni tiba namba moja ya asili. Madaktari wakichina wajadi wamekuwa wakitumia mayai ya kware mamia ya miaka iliyopita na yamewapa matokeo mazuri kwa muda wote huo. Wataalamu hao wa tiba za asili wanathibitisha yai hili kuwa na faida kimatibabu kwa wagonjwa wa msongo wa mawazo, hypertension (BP), wanaosumbuliwa na kuchelewa kwa mzunguko wa chakula tumboni, vidonda vya tumbo, matatizo ya maini, pumu, lipid control, migraine, anemia, na baadhi ya aina za allergy, eczema, matatizo ya moyo na mapafu.
Jinsi ya utumiaji wa mayai ya kware kulingana na umri.