Arsenal imejengwa vizuri sana ukiitoa chelsea

ARSENAL IMEJENGWA VIZURI SANA, UKIITOA CHELSEA  Kimataifa, Makala  August 6th, 2015  0 Comments Na Joel Chuku Arsenal ni timu ambayo inapewa nafasi kubwa ya kufanya viuri kwenye ligi kuu England msimu huu kutokana na kiwango ilichokionesha kuanzi kwenye mechi za pre-season mpaka mchezo wa kuwania ngao ya jamii ilipocheza na Chelsea na kuifunga kwa goli 1-0 hatimaye kutwaa ngago ya jamii. Ni ambayo imeonekana kujegwa na kusukwa upya pia ukiongeza ujio wa golikipa Petr Cech aliyesajiliwa kutoka klabu ya Chelsea na kuonesha uwezo mkubwa tangu aanze kukaa kwenye lngo la Arsenal. Labda kidogo na Man City japo wanapitia matatizo kidogo ila matatizo yao ni ya Pellegrin kujitakia, anaweza kuyafuta haraka matatizo hayo ila ni timu nzuri pia Chelsea wamekaa juu ya Arsenal kwakua wao walishadevelop kikosi chao muda mrefu uliopita na hiki kikosi chao kipya kilishatoa matunda msimu uliopitakwahiyo automatically wapo juu kuliko timu yeyote pale England.. Msimu wa 2013/2014 Arsenal iliongoza league kwa siku128 ikiwa kipindi kirefu kuliko vyote kwa msimu ule na majeruhi ndio yaliharibu msimu ule kwa Arsenal. Ila mnajua nini kilitokea majira ya kiangazi ya 2014, Alikuja fitness coach mpya na hata statistics za majeruhi zilipungua kutoka 2013/2014 zikawa zimepungua kwa asilimia kubwa msimu wa 2014/2015. Kitu kilichofanya Arsenal kuanza ovyo msimu uliopita wa 2014/2015 ni kwakua tulikua na muhimu wengi waliokosa pre-season kuliko walioenda pre-season hii ikawa shida kuifanya timu iwe na moto mapema na wachezaji kuumia na walikosa maadaliz mauzri. Mzunguko wa pili wa kuanzia January baada ya timu kuchanganya kwenye ligi kwa hesabu za haraka haraka ilipoteza game mbili tu halafu hata draw zenyewe zilikua chache sana, ilitoka nafasi za nje ya top four tukamaliza namba tatu halafu leo hii utasemaje team ya Arsenal bado sana? Arsenal haihitaji mbadala wa Cazorla. Kuna namba nane bora sana mwingine anacheza winger (Ramsey) kwasababu ya huyo cazorla, na kama Cazorla akiumia, Ramsey anarudi kwenye nafasi yake nafasi iliofanya mashabiki wa timu nyingine wamuelewe kwenye msimu wa 2013/2014. Chaguo la tatu kwa kucheza namba nane pale Arsenal ni Jack Wilshere sasa club gani pale England na