assist over ur smartphone

assist over ur smartphoneblog ipo.kwa ajili ya kusaidia kwa wale wenye matatizo ya simu zao na wanaitaji ushauri juu ya kutafutia simu nzuri ipi original na ipi fake..pia waweza kupats ushauri ni jinsi gani waweza kuunlock simu aina tofauti na app ipi inafaa kuwekwa kwenye simu tnx..