nouvelle vision foundation

               pamolja na mungu yote yawezekana

 

nikizungumuzia hahari za group  nouvelle vision  congo uvira
nouvelle vision (C.N.V) wakati ambayo imeanza ,ilikuwa yenye kuji support wenyewe , lakini kutokana na  utofati wa kazi  na ubadiliko wa miaka, ilionekana kusonga mbele kwa filamu, kupitia  waanzishi

WANAYE BUKASHI

JOHN BISEMWA BIN MASABIRE

BUTOTO KWADJA

BUKURU KWADJA

BOSCO LAZIZI RAM'S

BIBICHE JACKLINE

EUGIDE TEMBO

BALEKE MUSA MASABIRE

Hawa ndio watu ambao walikuwa kwa umoja wa kundi hii nouvelle vision

ila kabla  ya nouvelle vision kuwepo 

ilikuwa  MESSAGE DU SALUT  IKIONGOZWA NA : JOHN  BISEMWA

alafu kabla  nouvelle vision ilikuwa  COMMEDIA LOISIR DE KILIBA

wakati ambapo tulikuja kujuwana na kuwaa  pamoja  ndipo jina hilo la  : nouvelle vision likaundwa

kwa mengi zaidi tembele mtandao huu wa kamanyola  momies connction

 

www.kamanyolamoviesconnection
                   asanteni