Wayne Rooney kaweka rekodi hii mbele ya mkewe Coolen na mtoto wake Kai (Pichaz)

 

Kama ambavyo ilivyokuwa kwa upande wa bara la Afrika kuliwa na michezo kadhaa kupigwa weekend hii na bara la Ulaya ilipigwa michezo kadhaa ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro 2016. Timu ya taifa ya Uingereza Jumamosi ya Septemba 5 ilicheza mechi dhidi ya San Marino.

2BFFF80D00000578-0-image-a-4_1441472152918

Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney aliingia katika headlines baada ya kuifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote katika timu ya taifa ya Uingereza Sir Bobby Charlton, rekodi ambayo inatajwa kudumu kwa muda wa miaka 45. Rooney aliifikia rekodi hiyo baada ya kufunga goli moja katika ushindi wa goli 6-0 dhidi ya San Marino.

2BFFF6CC00000578-0-image-a-16_1441472895911

2BFFFE7500000578-0-image-a-8_1441472308888

2BFFD97100000578-0-image-a-28_1441474265609

Coolen Rooney akishuhudia Rooney akiingia katika rekodi ya kihistoria

2C02769500000578-3223574-image-a-41_1441495378809

Msimamo wa Kundi E