wakolo movement

mchaka mchaka haina ngoja mpaka night eee attention unapotuona masolder jah bless watu wapo buzy for mkwanja..... nawakubali sana wakolo ni moja kati ya wanahip hop wanaoendeleza movement za kusini ususani kwenye game ya hip hop ambao inawakutanisha majembe kama Man Moa, The High Kaya Man pamoja na mtu mzima miracle