KICHEKESHO

Maeneo Fulani hivi ya mwenge jamaa alimuona binti mzurii akija mbele yake nae akaamua kumfata ili kutaka kumsabahi na ikibidi kuchukua namba ake ya simu... Jamaa alipomfikia akamsalimu na bila kuvunga akaomba namba ya mrembo... Mrembo bila kusita akafungua mkoba wake na kutoa noti moja mpya ya sh efu kumi na kuandika namba ake ya simu kisha kumkabidhi yule jamaa... Yule jamaa nae akaipokea ile ef kumi kisha akachana ile sehemu iloandikwa namba na kumrudishia pesa ake yule Dada... SWALI JE JAMAA NA BINTI NANI ANA KIBURI NA NANI ANA DHARAU.!!!???