luwassa awapa masharti magumu palisi

Aliyekuwa mgombea Urais wa Chadema, EdwardLowassa, akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa waGeita, Marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza leoLowassa awapa masharti magumu polisiPosted by:Moses Mseti2 days ago0 Comments2,967 ViewsALIYEKUWA mgombea Urais wa Chadema, Edward lowassa, amelitaka jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua wale wote wanadaiwa kumuua, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na kwamba kama hawatafanya hivyo, watachukua hatua wao wenyewe.Anaandika Moses Mseti, Mwanza… (endelea).Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku mbili sasa tangu Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, kutoa hukumu kwa chama hicho kikuu cha upinzani kumuaga na kumzika Marehemu Mawazo bila kuingiliwa na mtu yeyote.(chanzo gaziti la mwanahalisi)