NDANI YA 101.2 ANYOLE FM LUANDA

Ni baadha tu ya mwimbo wangu mgeni kwa jina #mpenzi_wangu kufanya vyema..saa leo niko ndani ya anyole fm kuanzia 1:30pm nikitambulisha mwimbo wangu mpya kwa jina #penzi_uchizi..support yenu imenifanya kua msani mwenye nimekoma kwa saana..nawashukuru