Mpenzi Wangu. by Jay S Feat. Flector B & Darly G

Ni siku tatu baadha ya iyo ngoma,"MPENZI WANGU"kutamba mtandaoni,na kupokea zaidi ya 1000 elfu moja downloads. Hivi sasa yaonekana kua ya vutia mashabiki wengi wa kenya. Nyimbo ikiwa ya msanii JAY S,akiwashirikisha flector b na darly g. Hiyo ndo moja,ya kolabo kali ambao imeweza kupokelewa vizuri..