JAY S VELLA

JAY S VELLAHapo ndipo maisha ya usanii, yalipo nifikisha. nilipotoa ngoma kwa jina "Mpenzi Wangu". hivi sasa nawakilisha na kingine kwa jina "Mwamchagua nani.?"ni ngoma inaongelea maisha ya hapa kenya,na kwa wanasiasa wetu.