Sanchez: Sipendi ujinga nikiwa uwanjani.

Sanchez: Sipendi ujinga nikiwa uwanjani.Mshambuliaji wa arsenal Alexis Sanchez amekiri kwamba kuna nyakati huwa mkali na wachezaji wenzake hasa wanapokuwa wanapigania pointi tatumuhimu. SSanchez amesema kwamba husikia vibaya kuona Wachezaji wenzake wanapokuwa hawajitumi zaidi. Alexisaliwahi kkuonekana akichukia kutolewa nje na alionekana akicheka pale arsenal ikipofungwa na Bayern Munich katika mchezo wao wa kwanza. Sanchez amebakisha mwaka mmoja katika mkataba wake na Wenger amehakikishia mashabiki wa arsenal kuwa hatauzwa msimu huu.