Tanzani 2-1 Angola

Tanzani 2-1 AngolaSerengeti boys yatupa matumaini. Yailaza Angola 2-1. Soka safi, kasi na umakini zaidi umeipa ushindi ambao ni muhimu sana kwa sababu wafikie pointi nne huku wakiwa na mchezo mmoja. Tunaitakia kila la heri Serengeti boys.