Serengeti Boys yawasili Jijini Port Gentil

Serengeti Boys yawasili Jijini Port GentilKikosi cha vijana hao kutoka nchi ya Kilimanjaro, Tanzania imewasili salama jijini Port Gentil Kuikabili Niger katika mchezo wao utakaochezwa siku ya jumapili.Makinda hao wataikabili Niger huku wakihitaji ushindi utakaowapeleka nusu fainali. Ghana ndio timu ya kwanza kufika fainali baada ya kushinda mechi zake mbili za awali. Wenyeji Gabon wameshabanduliwa baada ya kupokea goli tisa ndani ya mechi mbili