MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUACHIWA JUMAPILI HII

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUACHIWA JUMAPILI HII

Matokeo ya wanafunzi walio fanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 yanatarajiwa kuachiwa mtandaoni siku ya jumapili ya tarehe 15/02/2015.

    Hayo yamethibitishwa na kauli iliotolewa na waziri wa elimu na mafunzo ya utamaduni tanzania. akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mh. waziri alisema kuwa kiwango chaufaulu wa wanafunzi kimeongezeka kwa asilimia kadhaa ikilinganishwa na mwaka uliopita.

     Kwa kuongezea zaid, Waziri amesema kuwa atahakikisha wanafunzi wote walifaulu wanachaguliwa kuendelea na shule za ngazi inayofuata. hata hivyo amesema kuwa uchanganuzi zaidi juu ya matokeo hayo utatolewa siku hiyo ya jumapili.

  contact: 0717 577 533