MAPINDUZI BURUNDI

Hadi wakati huu bado haijajulikana wapi aliko Rais Pierre Nkurunzinza baada ya habari za kupinduliwa kwake Habari zinasema Ndege yake ilishindwa kutua uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Burundi hivyo ikaelekea Uganda na wakati huo huo habari zinadai alirudi Tanzania Chanzo; BBC Tutaendelea kuwajuza