MPENZI WANGU SONG YAJA IVI PUNDE

Nâjua safari ni ndefu nilio nayo kufikisha ndoto yangu ya usaani ila mungu na awe nami wakti wote. Tegea ivi karibu, wimbo wangu mpya yaja. Kwa jina "MPENZI WANGU" chini ya produza Ryez, ndani ya Strict Bizzo Records. Nawapenda sana nyinyi...