WAZAZI WAKO WATANIFANYA NIFE MASKINI

Mapenzi yalinifanya ni kasahau wazazi wangu, nikapenda wazazi wa mpenzi wangu, na imefika pahali huyo mpenzi nataka kufunga ndoa naye, wazazi wake wanasema, niwapee 2m ndo nchukue msichana wao, ili ali hizo pesa nilkuwa nazo, niliwajengea hao yao